Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2008 Certified in Aviation Meteorological Services

Habari

SIKU YA HALI YA HEWA DUNIANI: NAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO AZUNGUMZA

Imewekwa:23 March,2017

SIKU YA HALI YA HEWA DUNIANI: Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano yazungumza na jamii kupitia vyombo vya habari tarehe 23 Machi 2017. Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani aliongea na wana habari katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo.

SIKU YA HALI YA HEWA DUNIANI TAREHE 23 MACHI 2017

Imewekwa:21 March,2017

SIKU YA HALI YA HEWA DUNIANI TAREHE 23 MACHI 2017 Kauli Mbiu: Tuyaelewe mawingu na umuhimu wake

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania yatoa utabiri wa mvua za msimu wa Masika 2017

Imewekwa:28 February,2017

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania yatoa utabiri wa mvua za msimu wa Masika 2017

MKUTANO WANAHABARI: MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA TANZANIA KIPINDI CHA MVUA ZA MASIKA MACHI - MEI 2017

Imewekwa:28 February,2017

MKUTANO WANAHABARI: MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA TANZANIA KIPINDI CHA MVUA ZA MASIKA MACHI - MEI 2017 :Taarifa inatoa uchambuzi wa mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa na mwelekeo wa msimu wa mvua katika kipindi cha Machi - Mei 2017.

WARSHA YA WADAU KUJADILI RASIMU YA MPANGO WA KITAIFA WA UBORESHAJI WA HUDUMA ZA HALI YA HEWA TANZANIA

Imewekwa:14 February,2017

TMA yaandaa warsha ya wadau wa huduma za hali ya hewa nchini iliyofanyika tarehe 10 Februari 2017, Chuo Kikuu, Dar es Salaam. Mkutano huo umefanyika chini ya mwavuli wa Programu ya kimataifa ya kuboresha na kuimarisha utoaji na utumiaji wa huduma za hali ya hewa (GFCS) nchini Tanzania.

Weather by Region

© 2017 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.