"

Albamu ya Video

HALI YA HEWA TANZANIA

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kusini Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi madogo.

Imewekwa: Nov 23, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi madogo.

Imewekwa: Nov 22, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA RUKWA, SONGWE, MBEYA, NJOMBE, IRINGA, RUVUMA, KATAVI NA KUSINI MWA MKOA WA MOROGORO.

Imewekwa: Nov 21, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

TAHADHARI ya mvua kubwa imetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Songwe, Mbeya, Njombe, Rukwa, Iringa, Ruvuma, Morogoro, Singida na Dodoma

Imewekwa: Nov 20, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa Kiasi.

Imewekwa: Nov 19, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote.

Imewekwa: Nov 18, 2025