24 Forecast
24 Forecast
HALI YA HEWA TANZANIA
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi madogo hadi makubwa kiasi.PAKUA HAPA

