UTEUZI Dkt. Ladislaus Benedict Chan’ga ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Kabla ya uteuzi huu, Dkt. Chan’ga alikuwa akikaimu nafasi hiyo. Hongera Dkt. Chang’a