Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2008 Certified in Aviation Meteorological Services

Habari

MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA VULI KWA KIPINDI CHA NOVEMBA 2016

Imewekwa:03 November,2016

Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt. Agnes Kijazi ametoa taarifa ya mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli kwa kipindi cha Novemba 2016. Taarifa hiyo imetolewa kwenye mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika katika ofisi za TMA, Ubungo plaza tarehe 03 Novemba 2016.

TAARIFA KWA UMMA JUU YA UPUNGUFU WA MVUA UNAOWEZA KUATHIRI NCHI YETU

Imewekwa:26 October,2016

Ofisi ya Waziri Mkuu, Kitengo cha Maafa kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania wamefanya mkutano na wanahabari kuhusiana na upungufu wa mvua unaoweza kuathiri nchi yetu.

WAATALAMU WA HALI YA HEWA TMA WAKUTANA KUJADILI MAONI YA WADAU WA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI

Imewekwa:11 October,2016

Wataalamu wa huduma za hali ya hewa TMA wamekutana kujadili maoni na matakwa ya watumiaji wa huduma za hali ya hewa kwa sekta ya kilimo, nishati na maji, katika ukumbi wa mikutano wa TMA tarehe 5-6 Oktoba 2016.

TMA yaendesha semina ziwa Tanganyika Mkoani Kigoma

Imewekwa:15 September,2016

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma afungua rasmi warsha inayohusu uboreshaji na uainishaji wa mahitaji ya huduma za hali ya hewa katika maeneo ya ziwa Tanganyika kwa sekta ya wavuvi na wasafirishaji, Mwaka hill hotel, Kigoma, tarehe 15 septemba 2016

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa mwelekeo hali ya hewa kwa msimu wa vuli kwa kipindi cha Oktoba - Disemba 2016.

Imewekwa:08 September,2016

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa mwelekeo hali ya hewa kwa msimu wa vuli kwa kipindi cha Oktoba - Disemba 2016 ambapo mvua chache zinatarajiwa katika maeneo mengi ya nchi, wakati maeneo ya pembezoni mwa Ziwa Viktoria pamoja na yale ya kusini mwa nchi mvua zinatarajiwa kuwa za kuridhisha

Weather by Region

© 2017 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.