Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2008 Certified in Aviation Meteorological Services

Dr. Agnes Lawrence Kijazi

Mkurugenzi Mkuu

Tanzania Meteorological Agency

Karibu kwenye Tovuti yetu


Karibu katika Tovuti rasmi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Katika Tovuti hii ndio mahali pekee unapoweza kupata taarifa na huduma za hali ya hewa za kuaminika, za uhakika na zinazoendana na muda ambazo zinaweza kukusaidia katika shughuli za kijamii na kiuchumi.

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania imejidhatiti k...>>>>Read More

All

15th September 2016 More

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma afungua rasmi warsha inayohusu uboreshaji na uainishaji wa mahitaji ya huduma za hali ya hewa katika maeneo ya ziwa Tanganyika kwa sekta ya wavuvi na wasafirishaji, Mwaka hill hotel, Kigoma, tarehe 15 septemba 2016

8th September 2016 More

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa mwelekeo hali ya hewa kwa msimu wa vuli kwa kipindi cha Oktoba - Disemba 2016 ambapo mvua chache zinatarajiwa katika maeneo mengi ya nchi, wakati maeneo ya pembezoni mwa Ziwa Viktoria pamoja na yale ya kusini mwa nchi mvua zinatarajiwa kuwa...

2nd September 2016 More

TMA yakutana na wanahabari ili kujadili mwelekeo wa msimu wa VULI Oktoba hadi Desemba 2016, katika ofisi za Makao Makuu TMA, Dar es Salaam tarehe 02 Septemba 2016

30th August 2016 More

Mkutano wa wadau wa sekta ya hali ya hewa kutoka Wizara, Taasisi, Manispaa na vitengo mbalimbali umefanyika tarehe 29 Agosti 2016 katika Ofisi za TMA, Makao Makuu, Ubungo Plaza, ili kujadili matarajio ya mwelekeo wa msimu wa Vuli Oktoba hadi Desemba 2016 kwa sekta mbali mbali nchi...

All

30th March 2016More

Uongozi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania na wawakilishi wa wafanyakazi wamekutana katika Mkutano BARAZA la Wafanyakazi 2016 na kujadili masuala mbalimbali ikiwemo mafanikio na changamoto zinazoikabili Mamlaka na kujadiliana njia muafaka za kutat...

Tahadhari, Ushauri na Taarifa

24th September 2016 - Information

Leo tarehe 24/09/2016, hakuna tahadhari yoyote ya Hali mbaya ya hewa

Weather by Region

© 2016 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.