24 Forecast
24 Forecast
HALI YA HEWA TANZANIA
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ypte; Kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi makubwa kiasi.PAKUA HAPA

