1. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania ni nini na kazi zake ni zipi?
-
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania ni Taasisi ya Serikali iliyo chini ya Wizara ya Uchukuzi. Taasisi hii imeanzishwa kwa sheria Namba 2 ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania ya Mwaka 2019 ikiwa na jukumu la kutoa huduma za hali ya hewa Tanzania, kuratibu na kudhibiti shughuli za hali ya hewa nchini, aidha Mamlaka ina jukumu maalumu la kutoa tahadhari ya Hali Mbaya ya Hewa Nchini

