10 Days Forecast
MUHTASARI WA MWENENDO WA MVUA KWA TAREHE 01-10 MACHI, 2026 NA MATARAJIO YA MVUA KWA TAREHE 11-20 MACHI, 2026
MWELEKEO WA MVUA KWA TAREHE 11-20 MACHI, 2026
Kanda ya ziwa Victoria (Mikoa ya Kagera, Geita, Shinyanga, Mwanza, Simiyu na Mara): Mvua zinazoambatana na ngurumo za radi zinatarajiwa katika maeneo machache.
Nyanda za juu kaskazini-mashariki (Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro): Mvua zinazoambatana na ngurumo za radi zinatarajiwa katika baadhi ya maeneo.
Pwani ya kaskazini (Mikoa ya Tanga, Maeneo ya kaskazini mwa Morogoro, Pwani na Dar es Salaam pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba): Mvua zinazoambatana na ngurumo za radi zinatarajiwa katika maeneo machache.
Magharibi mwa nchi (Mikoa ya Kigoma, Katavi na Tabora): Mvua zinazoambatana na ngurumo za radi zinatarajiwa katika baadhi ya maeneo.
Kanda ya kati (Mikoa ya Dodoma na Singida): Mvua zinazoambatana na ngurumo za radi zinatarajiwa katika baadhi ya maeneo.
Nyanda za juu Kusini-magharibi (Mikoa ya Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe na Iringa): Vipindi vya mvua kubwa zinazoambatana na ngurumo za radi vinatarajiwa katika baadhi ya maeneo.
Pwani ya kusini (Mikoa ya Mtwara na Lindi): Vipindi vya mvua kubwa zinazoambatana na ngurumo za radi vinatarajiwa katika baadhi ya maeneo.
Kanda ya kusini (Mkoa wa Ruvuma na Maeneo ya kusini mwa Morogoro): Vipindi vya mvua kubwa zinazoambatana na ngurumo za radi vinatarajiwa katika baadhi ya maeneo.
Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua

