Monthly Forecast
Monthly Forecast
MUHTASARI WA HALI YA HEWA KWA MWEZI DESEMBA, 2025 NA MWELEKEO KWA MWEZI JANUARI, 2026
Dondoo za tathmini ya Desemba, 2025 na mwelekeo wa Januari, 2026:
Taarifa hii inatoa muhtasari wa mifumo ya hali ya hewa pamoja na mwenendo wa hali ya hewa kwa mwezi Desemba, 2025 na kutoa mwelekeo wa hali ya hewa kwa mwezi Januari, 2026 nchini.
- Katika kipindi cha mwezi Desemba, 2025 ongezeko kidogo la mvua lilijitokeza katika baadhi ya maeneo nchini, hususan ukanda wa pwani, ukanda wa Ziwa Victoria na magharibi mwa nchi. Aidha, vipindi vichache vya mvua kubwa vilijitokeza hususan katika maeneo ya kusini mwa nchi, nyanda za juu kusini magharibi pamoja na pwani ya kusini.
- Katika kipindi cha mwezi Januari 2026, mvua zinatarajiwa kuendelea katika baadhi ya maeneo. Aidha, ongezeko kidogo la mvua linatarajiwa.
- Hali ya joto inatarajiwa kuendelea katika maeneo yanayotarajiwa kuwa na upungufu wa mvua.
Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua

