Downscale Forecast
Downscale Forecast
MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA (MACHI – MEI), 2026 KWA MAENEO YA KASKAZINI MWA MKOA WA KIGOMA
Dondoo
- Kwa ujumla mvua za Wastani hadi Juu ya Wastani zinatarajiwa katika maeneo ya kaskazini mwa mkoa wa Kigoma.
- Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya nne ya mwezi Februari na wiki ya kwanza ya mwezi Machi, 2026.
- Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya tatu na ya nne ya mwezi Mei, 2026.
- Upo uwezekano wa kutokea vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi katika msimu huu wa Masika, 2026.
Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua

