Huduma Zetu

services images

Mamlaka ya Hali ya Hewa pia ina jukumu la kufuatilia na kutoa tahadhari za matukio ya Tsunami kwa pwani ya Tanzania kila inapotarajiwa. Kwa kushirikiana na Idara za maafa, vyombo vya habari na jamii kwa ujumla, Mamlaka hupaswa kuhakikisha maafa yatokanayo na matukio ya Tsunami kuwa kidogo kadri iwezekanavyo kwa kutoa na kufikisha tahadhari za mapema.