Huduma Zetu

services images

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania inawajibu wa kuanzisha, kusimamia na kudhbiti Vituo vyote vya hali ya hewa nchini.

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania hufanya ukaguziwa vituo vyote vya hali hewa nchini. Ukaguzi huo hufanywa kila mara ili kuhakikisha kuwa takwimu zinazotolewa zina usahihi na ubora unaokubaliwa na Shirika la Hewa Ulimwenguni