Machapisho
MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA (MACHI – MEI), 2024 KWA MKOA WA SIMIYU
Pakua(i)Hali ya El Niño inayoendelea kwa sasa katika Bahari ya Pasifiki inatarajiwa kupungua nguvu hususan tunapoelekea katika msimu wa mvua za Masika, 2024.
(ii)Kwa ujumla mvua za Wastani hadi Juu ya Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Simiyu
(iii)Mvua za nje ya msimu zinazoendelea kunyesha zinatarajiwa kuungana na mvua za Masika, 2024.
(iv)Mvua zinatarajiwa kuisha kati ya wiki ya tatu na ya nne ya mwezi Mei, 2024.
(v)Upo uwezekano wa kutokea vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi katika msimu huu wa Masika, 2024.