Machapisho

MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA VULI (OKTOBA– DISEMBA), 2024 KWA MAENEO YA KASKAZINI MWA MKOA WA KIGOMA

Pakua

(i).Kwa ujumla mvua za Wastani hadi Chini ya Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya kaskazini mwa mkoa wa Kigoma.

(ii).Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya nne ya mwezi Septemba, 2024.

(iii). Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya tatu na ya nne ya mwezi Disemba, 2024.

(iv). Vipindi virefu vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu wa Vuli.