Sera ya Mfumo wa Ubora

Sera ya Mfumo wa Ubora

“Sisi wafanyakazi wa TMA tumedhamiria kutoa bidhaa na huduma bora za hali ya hewa zenye kukidhi au kuzidi matarajio ya wateja wetu kwa kufuata sheria zilizokubalika kitaifa na kimataifa kwa kuendelea kuboresha taratibu zetu za kazi”