Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

ISO 9001:2015 Imethibitishwa Kutoa Huduma za Hali ya Hewa kwenye Usafiri wa Anga

24 Forecast

HALI YA HEWA TANZANIA

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini Magharibi kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi madogo hadi Makubwa Kiasi.

Kwa taarifa zaidi tafadhali, Pakua