ANGALIZO:
VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA
YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KWA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WOTE WA PWANI YA BAHARI
YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI, MTWARA,
PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).