Tahadhari Pakua

UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA.

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA VINATARAJIWA KWA BAAADHI YA MAENEO YA UKANDA WOTE WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA LINDI, MTWARA, TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KWA BAAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA KASKAZINI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).