Tahadhari

  • VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA MTWARA, LINDI, RUVUMA, KUSINI MWA MKOA WA MOROGORO, MBEYA, SONGWE, IRINGA NA NJOMBE.
  • VIPINDI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YOTE YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA MTWARA, LINDI, DAR-ES-SALAAM, TANGA NA PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).
Soma zaidi