Huduma Zetu

services images

Mamlaka hutoa tahadhari na ushauri wakati wa matukio ya hali mbaya ya hewa. Tahadhari hizo na ushauri hutolewa kila yanapotarajiwa matukio ya upungufu wa mvua, mvua kubwa, upepo mkali, mawimbi makubwa, na joto au baridi kali