Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2008 Certified in Aviation Meteorological Services

Utabiri wa Mvua za Msimu wa Masika (Machi-Mei), 2017

Mwelekeo wa msimu wa mvua kipindi cha Machi –Mei, 2017 - jaribio

Katika kipindi cha Machi hadi Mei, 2017 mvua za wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya nchi. Hata hivyo, maeneo ya nyanda za juu Kaskazini mashariki (Arusha, Kilimanjaro na Manyara) pamoja na Pwani kaskazini (Morogoro, Pwani, Dar es Salaam, Tanga na visiwa vya Unguja na Pemba)msimu wa mvua unatarajiwa kuwa na mvua za wastani hadi chini ya wastani zikiambatana na vipindi virefu vya ukavu.

Tafadhali bofya hapa mam 2017 swahili version kupata undani wa habari hii

Weather by Region

© 2018 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.