Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Habari

 • Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania yatoa utabiri wa mvua za msimu wa Masika 2017

  Imewekwa: 28th February, 2017

  Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania yatoa utabiri wa mvua za msimu wa Masika 2017

  Katika kipindi cha Machi hadi Mei, 2017 mvua za wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya nchi. Hata hivyo, maeneo ya nyanda za juu Kaskazini mashariki (Arusha, Kilimanjaro na Manyara) pamoja na Pwani kaskazini (Morogoro, Pwani, Dar es Salaam, Tanga na visiwa vya Unguja na Pemba)msimu wa mvua unatarajiwa kuwa na mvua za wastani hadi chini ya wastani zikiambatana na vipindi virefu vya ukavu.

  Kwa undani wa taarifa hii,tafadhali bofya mam 2017 swahili version

 • Weather by Region

  © 2018 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.