Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Habari

  • MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA VULI KWA KIPINDI CHA NOVEMBA 2016

    Imewekwa: 03rd November, 2016

    Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt. Agnes Kijazi ametoa taarifa ya mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli kwa kipindi cha Novemba 2016. Taarifa hiyo imetolewa kwenye mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika katika ofisi za TMA, Ubungo plaza tarehe 03 Novemba 2016.

    Kwa taarifa zaidi ingia humu taarifa kwa umma mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli kwa kipindi cha novemba 2016

  • Weather by Region

    © 2018 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.