Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Habari

 • TAARIFA KWA UMMA JUU YA UPUNGUFU WA MVUA UNAOWEZA KUATHIRI NCHI YETU

  Imewekwa: 26th October, 2016

  Ofisi ya Waziri Mkuu, Kitengo cha Maafa kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania wamefanya mkutano na wanahabari kuhusiana na upungufu wa mvua unaoweza kuathiri nchi yetu. Taarifa hiyo ilieleza juu ya mwelekeo wa msimu wa mvua kwa kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2016, athari zitakazo jitokeza na hatua za kuchukua kupunguza madhara ya athari hizo

  Kwa taarifa zaidi pmo ond 2016

  ond 2016 statement draft sw4sep2016 final 4

 • Weather by Region

  © 2018 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.