Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Habari

  • DKT.KIJAZI ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA KUFANIKISHA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA HUDUMA ZA HALI YA HEWA AWAMU YA PILI.

    Imewekwa: 19th September, 2018

    Tarehe 17 Septemba 2018; Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) wameshirikiana katika kuandaa kikao kazi cha kwanza cha utekelezaji wa programu ya kidunia ya huduma za hali ya hewa kwa awamu ya II. Kikao kazi hicho kilifanyika katika ukumbi wa mkutano uliopo Golden Jubilee, Dar es Salaam. Kwa taarifa zaidi tembelea swahili press release of the technical workshop jubilee towers sept 2018

  • Weather by Region

    © 2019 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.