Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Habari

  • RC SIMIYU

    Imewekwa: 05th August, 2018

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe.Anthony Mtaka afurahishwa na jitihada za TMA za kuwatembelea wanafunzi mashuleni mkoani Simiyu ikiwa ni moja ya mkakati wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania wa kutoa elimu kwa Jamii na kuimarisha uelewa na matumizi ya huduma za hali ya hewa kwa maendeleo ya viwanda na maendeleo endelevu kupitia maonesho ya Nane Nane ya 2018. Pichani mhe. Mtaka alipotembelea banda la TMA katika viwanja vya Nyakabidi,Bariadi-Simiyu tarehe 05 Agosti 2018

  • Weather by Region

    © 2019 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.