Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Habari

  • Mahafali ya Tano ya Kozi ya Huduma za Hali ya Hewa kwenye Sekta ya Anga

    Imewekwa: 04th September, 2017

    Chuo cha Hali ya Hewa Kigoma kwa shirikiana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania na Chuo Kikuu cha Dar es Salaa, wamefanikisha uendeshwaji wa kozi ya hali ya hewa kwenye usafiri wa anga ya mwezi mmoja na kukamilishwa na mahafali ya tano tarehe 31 Agosti 2017.

    Madhumuni ya kozi hiyo ni kuhakikisha ufanisi wa huduma za hali ya hewa kwa usafiri wa anga zinaborehwa kwa kiwango kikubwa ili kuendelea kukidhi viwango vya kimataifa


  • Weather by Region

    © 2018 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.